Native Bible

Ezekiel 27:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“ ‘Dedani alifanya biashara nawe kwa matandiko ya farasi.

Ezekiel 27:20 in English

Ezekiel 27:20 · Berean Standard Bible

Dedan was your merchant in saddlecloths for riding.

Context

18“ ‘Dameski, kwa sababu ya wingi wa kazi za mikono yako na ukuu wa utajiri wa mali, walifanya biashara nawe wakibadilishana mvinyo kutoka Helboni na sufu kutoka Zahari. 19“ ‘Wadani na Wayunani kutoka Uzali, walikuletea mali za biashara, nao wakabadilishana nawe chuma kilichofuliwa, mdalasini na mchaichai. 20“ ‘Dedani alifanya biashara nawe kwa matandiko ya farasi. 21“ ‘Arabuni na wakuu wote wa Kedari walikuwa wanunuzi wako waliobadilishana bidhaa zako na wana-kondoo, kondoo dume na mbuzi. 22“ ‘Wafanyabiashara wa Sheba na wa Raama walifanya biashara nawe, wakabadilishana bidhaa zako na aina zote za vikolezi, vito vya thamani na dhahabu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.