Native Bible

Ezekiel 23:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

umekuletea haya yote, kwa sababu ulitamani mataifa na kujinajisi kwa sanamu zao.

Ezekiel 23:30 in English

Ezekiel 23:30 · Berean Standard Bible

have brought these things upon you, because you have prostituted yourself with the nations and defiled yourself with their idols.

Context

28“Kwa hiyo hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Ninakaribia kukutia mikononi mwa wale unaowachukia, kwa wale uliojitenga nao kwa kuwachukia. 29Watakushughulikia kwa chuki na kukunyangʼanya kila kitu ulichokifanyia kazi. Watakuacha uchi na mtupu na aibu ya ukahaba wako itafunuliwa. Uasherati wako na uzinzi wako 30umekuletea haya yote, kwa sababu ulitamani mataifa na kujinajisi kwa sanamu zao. 31Umeiendea njia ya dada yako, hivyo nitakitia kikombe chake mkononi mwako. 32“Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: “Utakinywea kikombe cha dada yako, kikombe kikubwa na chenye kina kirefu; nitaletea juu yako dharau na dhihaka, kwa kuwa kimejaa sana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.