Native Bible

Ezekiel 22:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo neno la Bwana likanijia kusema:

Ezekiel 22:17 in English

Ezekiel 22:17 · Berean Standard Bible

Then the word of the LORD came to me, saying,

Context

15Nitakutawanya miongoni mwa mataifa na kukutapanya katika nchi mbalimbali nami nitakomesha unajisi wako. 16Ukiisha kunajisika mbele ya mataifa, utajua kuwa Mimi ndimi Bwana.’ ” 17Ndipo neno la Bwana likanijia kusema: 18“Mwanadamu, nyumba ya Israeli imekuwa kwangu takataka ya chuma, wote kwangu wamekuwa shaba, bati, chuma na risasi iliyoachwa kalibuni. Wao ni taka ya madini ya fedha tu. 19Kwa hiyo hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: ‘Kwa kuwa wote mmekuwa takataka ya chuma, nitawakusanya Yerusalemu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.