Ezekieli 22:15
Ezekiel 22:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nitakutawanya miongoni mwa mataifa na kukutapanya katika nchi mbalimbali nami nitakomesha unajisi wako.
Ezekiel 22:15 in English
Ezekiel 22:15 · Berean Standard Bible
I will disperse you among the nations and scatter you throughout the lands; I will purge your uncleanness.
Context
13“ ‘Hakika nitapiga makofi kwa ajili ya faida isiyo halali uliyojipatia na kwa damu uliyoimwaga ndani yako. 14Je, ujasiri wako utadumu au mikono yako itakuwa na nguvu siku hiyo nitakapokushughulikia? Mimi Bwana nimesema na nitalifanya. 15Nitakutawanya miongoni mwa mataifa na kukutapanya katika nchi mbalimbali nami nitakomesha unajisi wako. 16Ukiisha kunajisika mbele ya mataifa, utajua kuwa Mimi ndimi Bwana.’ ” 17Ndipo neno la Bwana likanijia kusema:
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.