Native Bible

Ezekiel 17:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Mwanadamu, tega kitendawili, ukawaambie nyumba ya Israeli fumbo.

Ezekiel 17:2 in English

Ezekiel 17:2 · Berean Standard Bible

“Son of man, pose a riddle; speak a parable to the house of Israel

Context

1Neno la Bwana likanijia kusema: 2“Mwanadamu, tega kitendawili, ukawaambie nyumba ya Israeli fumbo. 3Waambie hivi, ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Tai mkubwa mwenye mabawa yenye nguvu, yaliyojaa manyoya marefu ya rangi mbalimbali, alikuja Lebanoni. Akatua kwenye kilele cha mwerezi, 4akakwanyua ncha yake na kuichukua mpaka nchi ya wafanyabiashara, akaipanda huko katika mji wa wachuuzi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.