Native Bible

Exodus 7:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Zilipita siku saba baada ya Bwana kuyapiga maji ya Mto Naili.

Exodus 7:25 in English

Exodus 7:25 · Berean Standard Bible

And seven full days passed after the LORD had struck the Nile.

Context

23Badala yake, Farao akageuka, akaenda kwenye jumba lake la kifalme, wala hakulitia hili moyoni. 24Nao Wamisri wote wakachimba kandokando ya Mto Naili kupata maji ya kunywa, kwa sababu hawakuweza kunywa maji ya mto. 25Zilipita siku saba baada ya Bwana kuyapiga maji ya Mto Naili.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.