Kutoka 5:22
Exodus 5:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mose akarudi kwa Bwana na kumwambia, “Ee Bwana, mbona umewaletea watu hawa taabu? Kwa nini basi ukanituma mimi?
Exodus 5:22 in English
Exodus 5:22 · Berean Standard Bible
So Moses returned to the LORD and asked, “Lord, why have You brought trouble upon this people? Is this why You sent me?
Context
20Walipoondoka kwa Farao, wakawakuta Mose na Aroni wakingojea kukutana nao, 21wakawaambia Mose na Aroni, “Bwana na awaangalie awahukumu ninyi! Mmetufanya tunuke kwa Farao na maafisa wake, nanyi mmeweka upanga mikononi mwao ili kutuua sisi.” 22Mose akarudi kwa Bwana na kumwambia, “Ee Bwana, mbona umewaletea watu hawa taabu? Kwa nini basi ukanituma mimi? 23Tangu nilipomwendea Farao kuzungumza naye kwa jina lako, amewaletea taabu watu hawa, nawe kamwe hujawakomboa watu wako.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.