Native Bible

Exodus 37:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Pia akatengeneza upapi wenye upana wa nyanda nne,* na kuufanyia ule upapi ukingo wa dhahabu kuuzunguka pande zote.

Exodus 37:12 in English

Exodus 37:12 · Berean Standard Bible

And he made a rim around it a handbreadth wide * and put a gold molding on the rim.

Context

10Akatengeneza meza ya mbao za mshita yenye urefu wa dhiraa mbili,* upana wa dhiraa moja,* na kimo cha dhiraa moja na nusu. 11Kisha akaifunika kwa dhahabu safi, na kuitengenezea ukingo wa dhahabu kuizunguka pande zote. 12Pia akatengeneza upapi wenye upana wa nyanda nne,* na kuufanyia ule upapi ukingo wa dhahabu kuuzunguka pande zote. 13Akasubu pete nne za dhahabu kwa ajili ya meza hiyo, na kuzifungia kwenye pembe nne, pale penye miguu yake minne. 14Pete hizo ziliwekwa karibu na ukingo ule ili kuishikilia ile mipiko iliyotumika kuibebea hiyo meza.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.