Kutoka 37:10
Exodus 37:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akatengeneza meza ya mbao za mshita yenye urefu wa dhiraa mbili,* upana wa dhiraa moja,* na kimo cha dhiraa moja na nusu.
Exodus 37:10 in English
Exodus 37:10 · Berean Standard Bible
He also made the table of acacia wood two cubits long, a cubit wide, and a cubit and a half high.*
Context
8Akatengeneza kerubi mmoja kwenye mwisho mmoja, na kerubi mwingine kwenye mwisho mwingine; akawatengeneza kuwa kitu kimoja na hicho kifuniko katika miisho hiyo miwili. 9Makerubi hao walikuwa wametandaza mabawa kuelekea juu, wakitia kivuli hicho kifuniko. Makerubi hao walielekeana, wakitazama hicho kifuniko. 10Akatengeneza meza ya mbao za mshita yenye urefu wa dhiraa mbili,* upana wa dhiraa moja,* na kimo cha dhiraa moja na nusu. 11Kisha akaifunika kwa dhahabu safi, na kuitengenezea ukingo wa dhahabu kuizunguka pande zote. 12Pia akatengeneza upapi wenye upana wa nyanda nne,* na kuufanyia ule upapi ukingo wa dhahabu kuuzunguka pande zote.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.