Kutoka 28:18
Exodus 28:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
katika safu ya pili itakuwa na almasi, yakuti samawi na zumaridi;
Exodus 28:18 in English
Exodus 28:18 · Berean Standard Bible
in the second row a turquoise, a sapphire, and a diamond;
Context
16Kitakuwa cha mraba, chenye urefu wa shibiri moja* na upana wa shibiri moja, na kikunjwe mara mbili. 17Kisha weka safu nne za vito vya thamani juu yake. Safu ya kwanza itakuwa na akiki, yakuti manjano na zabarajadi; 18katika safu ya pili itakuwa na almasi, yakuti samawi na zumaridi; 19safu ya tatu itakuwa na hiakintho, akiki nyekundu na amethisto; 20na safu ya nne itakuwa na krisolitho, shohamu na yaspi. Yote yatiwe kwenye vijalizo vya dhahabu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.