Native Bible

Exodus 28:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kitakuwa cha mraba, chenye urefu wa shibiri moja* na upana wa shibiri moja, na kikunjwe mara mbili.

Exodus 28:16 in English

Exodus 28:16 · Berean Standard Bible

It must be square when folded over double, a span long and a span wide.*

Context

14na mikufu miwili ya dhahabu safi iliyosokotwa kama kamba, na uifunge mikufu hiyo kwenye vijalizo. 15“Fanyiza kifuko cha kifuani kwa ajili ya kufanya maamuzi, kazi ya fundi stadi. Kitengeneze kama kile kisibau: cha dhahabu, na nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, na za rangi nyekundu, cha kitani safi iliyosokotwa. 16Kitakuwa cha mraba, chenye urefu wa shibiri moja* na upana wa shibiri moja, na kikunjwe mara mbili. 17Kisha weka safu nne za vito vya thamani juu yake. Safu ya kwanza itakuwa na akiki, yakuti manjano na zabarajadi; 18katika safu ya pili itakuwa na almasi, yakuti samawi na zumaridi;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.