Native Bible

Exodus 26:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Fanya vitanzi hamsini katika pazia mmoja, na vitanzi vingine hamsini kwenye pazia la mwisho la fungu hilo lingine, nazo vitanzi vyote vielekeane.

Exodus 26:5 in English

Exodus 26:5 · Berean Standard Bible

Make fifty loops on one curtain and fifty loops on the end curtain of the second set, so that the loops line up opposite one another.

Context

3Unganisha mapazia matano pamoja; fanya vivyo hivyo kwa hayo mengine matano. 4Tengeneza vitanzi vya kitambaa cha buluu kwenye upindo wa pazia la mwisho la fungu la kwanza, na ufanye vivyo hivyo na pazia la fungu la mwisho. 5Fanya vitanzi hamsini katika pazia mmoja, na vitanzi vingine hamsini kwenye pazia la mwisho la fungu hilo lingine, nazo vitanzi vyote vielekeane. 6Kisha tengeneza vifungo hamsini vya dhahabu ili vitumike kufunga na kuunganisha mapazia pamoja kufanya Hema liwe kitu kimoja. 7“Tengeneza mapazia kumi na moja ya singa za mbuzi kwa ajili ya kufunika maskani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.