Native Bible

Exodus 25:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Tengeneza meza ya mbao za mshita yenye urefu wa dhiraa mbili,* upana wa dhiraa moja, na kimo cha dhiraa moja na nusu.

Exodus 25:23 in English

Exodus 25:23 · Berean Standard Bible

You are also to make a table of acacia wood two cubits long, a cubit wide, and a cubit and a half high.*

Context

21Weka huo Ushuhuda nitakaokupa ndani ya hilo Sanduku la Agano, na uweke hicho kifuniko juu ya hilo Sanduku. 22Hapo juu ya hicho kifuniko, kati ya hao makerubi wawili walioko juu ya hilo Sanduku la Ushuhuda, hapo ndipo nitakapokutana nawe na kukupa maagizo yangu kwa ajili ya Waisraeli. 23“Tengeneza meza ya mbao za mshita yenye urefu wa dhiraa mbili,* upana wa dhiraa moja, na kimo cha dhiraa moja na nusu. 24Ifunike kwa dhahabu safi, na kuitengenezea ukingo wa dhahabu kuizunguka pande zote. 25Kisha tengeneza upapi wenye upana wa nyanda nne,* na ufanyie ule upapi ukingo wa dhahabu kuuzunguka pande zote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.