Native Bible

Exodus 23:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Usiwaache waishi katika nchi yako, la sivyo watakusababisha utende dhambi dhidi yangu, kwa sababu ibada ya miungu yao hakika itakuwa mtego kwako.”

Exodus 23:33 in English

Exodus 23:33 · Berean Standard Bible

They must not remain in your land, lest they cause you to sin against Me. For if you serve their gods, it will surely be a snare to you.”

Context

31“Nitaweka mipaka ya nchi yako kuanzia Bahari ya Shamu hadi Bahari ya Wafilisti, na kuanzia jangwani hadi Mto Frati. Nitawatia watu wanaoishi katika nchi hizo mikononi mwako, nawe utawafukuza watoke mbele yako. 32Usifanye agano lolote nao wala na miungu yao. 33Usiwaache waishi katika nchi yako, la sivyo watakusababisha utende dhambi dhidi yangu, kwa sababu ibada ya miungu yao hakika itakuwa mtego kwako.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.