Native Bible

Exodus 23:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Usifanye agano lolote nao wala na miungu yao.

Exodus 23:32 in English

Exodus 23:32 · Berean Standard Bible

You shall make no covenant with them or with their gods.

Context

30Nitawafukuza kidogo kidogo mbele yako, mpaka uwe umeongezeka kiasi cha kutosha kuimiliki nchi. 31“Nitaweka mipaka ya nchi yako kuanzia Bahari ya Shamu hadi Bahari ya Wafilisti, na kuanzia jangwani hadi Mto Frati. Nitawatia watu wanaoishi katika nchi hizo mikononi mwako, nawe utawafukuza watoke mbele yako. 32Usifanye agano lolote nao wala na miungu yao. 33Usiwaache waishi katika nchi yako, la sivyo watakusababisha utende dhambi dhidi yangu, kwa sababu ibada ya miungu yao hakika itakuwa mtego kwako.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.