Native Bible

Exodus 20:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa siku sita utafanya kazi na kutenda shughuli zako zote,

Exodus 20:9 in English

Exodus 20:9 · Berean Standard Bible

Six days you shall labor and do all your work,

Context

7Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako, kwa kuwa Bwana hataacha kumhesabia hatia yeye alitajaye jina lake bure. 8Ikumbuke siku ya Sabato, uitakase. 9Kwa siku sita utafanya kazi na kutenda shughuli zako zote, 10lakini siku ya saba ni Sabato kwa Bwana Mungu wako. Siku hiyo hutafanya kazi yoyote, wewe, wala mwanao au binti yako, wala mtumishi wako wa kiume au wa kike, wala wanyama wako, wala mgeni aliye ndani ya malango yako. 11Kwa kuwa kwa siku sita, Bwana aliumba mbingu na nchi, bahari na vyote vilivyomo, lakini akapumzika siku ya saba. Kwa hiyo Bwana akaibariki siku ya Sabato na kuifanya takatifu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.