Native Bible

Exodus 20:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako, kwa kuwa Bwana hataacha kumhesabia hatia yeye alitajaye jina lake bure.

Exodus 20:7 in English

Exodus 20:7 · Berean Standard Bible

You shall not take the name of the LORD your God in vain, for the LORD will not leave anyone unpunished who takes His name in vain.

Context

5Usivisujudie wala kuviabudu; kwa kuwa Mimi, Bwana Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu, ninayewaadhibu watoto kwa ajili ya dhambi za baba zao hadi kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao, 6lakini ninaonyesha upendo kwa maelfu ya vizazi vya wale wanipendao na kuzishika amri zangu. 7Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako, kwa kuwa Bwana hataacha kumhesabia hatia yeye alitajaye jina lake bure. 8Ikumbuke siku ya Sabato, uitakase. 9Kwa siku sita utafanya kazi na kutenda shughuli zako zote,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.