Native Bible

Exodus 18:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakatumika kama waamuzi wa watu kwa wakati wote. Mashauri magumu wakayaleta kwa Mose, lakini yale yaliyo rahisi wakayaamua wenyewe.

Exodus 18:26 in English

Exodus 18:26 · Berean Standard Bible

And they judged the people at all times; they would bring the difficult cases to Moses, but any minor issue they would judge themselves.

Context

24Mose akamsikiliza baba mkwe wake na kufanya kila kitu alichosema. 25Mose akawachagua watu wenye uwezo kutoka Israeli yote, akawafanya kuwa viongozi wa watu, maafisa juu ya maelfu, mamia, hamsini na makumi. 26Wakatumika kama waamuzi wa watu kwa wakati wote. Mashauri magumu wakayaleta kwa Mose, lakini yale yaliyo rahisi wakayaamua wenyewe. 27Kisha Mose akaagana na Yethro baba mkwe wake, naye akarudi kwa nchi yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.