Kutoka 18:27
Exodus 18:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kisha Mose akaagana na Yethro baba mkwe wake, naye akarudi kwa nchi yake.
Exodus 18:27 in English
Exodus 18:27 · Berean Standard Bible
Then Moses sent his father-in-law on his way, and Jethro returned to his own land.
Context
25Mose akawachagua watu wenye uwezo kutoka Israeli yote, akawafanya kuwa viongozi wa watu, maafisa juu ya maelfu, mamia, hamsini na makumi. 26Wakatumika kama waamuzi wa watu kwa wakati wote. Mashauri magumu wakayaleta kwa Mose, lakini yale yaliyo rahisi wakayaamua wenyewe. 27Kisha Mose akaagana na Yethro baba mkwe wake, naye akarudi kwa nchi yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.