Native Bible

Exodus 18:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kila wakiwa na shauri huletwa kwangu, nami huamua kati ya mtu na mwenzake na kuwajulisha juu ya amri na sheria za Mungu.”

Exodus 18:16 in English

Exodus 18:16 · Berean Standard Bible

“Whenever they have a dispute, it is brought to me to judge between one man and another, and I make known to them the statutes and laws of God.”

Context

14Baba mkwe wake alipoona yote Mose anayowafanyia watu, akasema, “Ni nini hiki unachowafanyia watu? Kwa nini wewe unakuwa mwamuzi wa watu hawa peke yako, wakati watu hawa wamesimama wakikuzunguka tangu asubuhi mpaka jioni?” 15Mose akamjibu, “Kwa sababu watu wananijia kutaka mapenzi ya Mungu. 16Kila wakiwa na shauri huletwa kwangu, nami huamua kati ya mtu na mwenzake na kuwajulisha juu ya amri na sheria za Mungu.” 17Baba mkwe wa Mose akamjibu, “Unachofanya sio kizuri. 18Wewe pamoja na watu hawa wanaokujia mtajichosha bure. Kazi ni nzito sana kwako, huwezi kuibeba mwenyewe.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.