Native Bible

Exodus 17:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mose akajenga madhabahu na kuiita Yehova Nisi.*

Exodus 17:15 in English

Exodus 17:15 · Berean Standard Bible

And Moses built an altar and named it The LORD Is My Banner.*

Context

13Kwa hiyo Yoshua akalishinda jeshi la Waamaleki kwa upanga. 14Kisha Bwana akamwambia Mose, “Andika mambo haya katika kitabu ili yakumbukwe, na uhakikishe kwamba Yoshua amesikia, kwa sababu nitafuta kabisa kumbukumbu la Amaleki chini ya mbingu.” 15Mose akajenga madhabahu na kuiita Yehova Nisi.* 16Mose akasema, “Kwa maana mikono iliinuliwa mpaka kwenye kiti cha enzi cha Bwana. Bwana atakuwa na vita dhidi ya Waamaleki kutoka kizazi hata kizazi.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.