Native Bible

Exodus 16:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

(Pishi moja ni sehemu ya kumi ya kipimo cha efa.*)

Exodus 16:36 in English

Exodus 16:36 · Berean Standard Bible

(Now an omer is a tenth of an ephah.)*

Context

34Kama Bwana alivyomwagiza Mose, hatimaye Aroni alikuja kuihifadhi ndani ya Sanduku la Ushuhuda. 35Waisraeli wakala mana kwa miaka arobaini, mpaka walipofika katika nchi iliyokaliwa na watu; walikula mana hadi walipofika mpakani mwa Kanaani. 36(Pishi moja ni sehemu ya kumi ya kipimo cha efa.*)

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.