Kutoka 16:35
Exodus 16:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Waisraeli wakala mana kwa miaka arobaini, mpaka walipofika katika nchi iliyokaliwa na watu; walikula mana hadi walipofika mpakani mwa Kanaani.
Exodus 16:35 in English
Exodus 16:35 · Berean Standard Bible
The Israelites ate manna forty years, until they came to a land where they could settle; they ate manna until they reached the border of Canaan.
Context
33Kwa hiyo Mose akamwambia Aroni, “Chukua gudulia na uweke pishi moja ya mana ndani yake. Kisha uweke mbele za Bwana ili kihifadhiwe kwa ajili ya vizazi vijavyo.” 34Kama Bwana alivyomwagiza Mose, hatimaye Aroni alikuja kuihifadhi ndani ya Sanduku la Ushuhuda. 35Waisraeli wakala mana kwa miaka arobaini, mpaka walipofika katika nchi iliyokaliwa na watu; walikula mana hadi walipofika mpakani mwa Kanaani. 36(Pishi moja ni sehemu ya kumi ya kipimo cha efa.*)
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.