Kutoka 13:2
Exodus 13:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Niwekeeni wakfu kila mzaliwa wa kwanza wa kiume. Kila mtoto wa kwanza aliye kifungua tumbo miongoni mwa Waisraeli ni mali yangu, akiwa wa mwanadamu au wa mnyama.”
Exodus 13:2 in English
Exodus 13:2 · Berean Standard Bible
“Consecrate to Me every firstborn male.* The firstborn from every womb among the Israelites belongs to Me, both of man and beast.”
Context
1Bwana akamwambia Mose, 2“Niwekeeni wakfu kila mzaliwa wa kwanza wa kiume. Kila mtoto wa kwanza aliye kifungua tumbo miongoni mwa Waisraeli ni mali yangu, akiwa wa mwanadamu au wa mnyama.” 3Ndipo Mose akawaambia watu, “Ikumbukeni siku hii, siku ambayo mlitoka katika nchi ya Misri, katika nchi ya utumwa, kwa sababu Bwana aliwatoa humo kwa mkono wenye nguvu. Msile chochote kilichotiwa chachu. 4Leo, katika mwezi wa Abibu,* mnatoka.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.