Native Bible

Exodus 13:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana akamwambia Mose,

Exodus 13:1 in English

Exodus 13:1 · Berean Standard Bible

Then the LORD said to Moses,

Context

1Bwana akamwambia Mose, 2“Niwekeeni wakfu kila mzaliwa wa kwanza wa kiume. Kila mtoto wa kwanza aliye kifungua tumbo miongoni mwa Waisraeli ni mali yangu, akiwa wa mwanadamu au wa mnyama.” 3Ndipo Mose akawaambia watu, “Ikumbukeni siku hii, siku ambayo mlitoka katika nchi ya Misri, katika nchi ya utumwa, kwa sababu Bwana aliwatoa humo kwa mkono wenye nguvu. Msile chochote kilichotiwa chachu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.