Native Bible

Esther 9:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Pia waliwaua Parshendatha, Dalfoni, Aspatha,

Esther 9:7 in English

Esther 9:7 · Berean Standard Bible

including Parshandatha, Dalphon, Aspatha,

Context

5Wayahudi waliwaangusha adui zao wote kwa upanga wakiwaua na kuwaangamiza, nao walifanya kile walichotaka kwa wale waliowachukia. 6Katika ngome ya Shushani Wayahudi waliua na kuangamiza wanaume 500. 7Pia waliwaua Parshendatha, Dalfoni, Aspatha, 8Poratha, Adalia, Ardatha, 9Parmashta, Arisai, Aridai na Waizatha,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.