Esta 9:6
Esther 9:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Katika ngome ya Shushani Wayahudi waliua na kuangamiza wanaume 500.
Esther 9:6 in English
Esther 9:6 · Berean Standard Bible
In the citadel of Susa, the Jews killed and destroyed five hundred men,
Context
4Mordekai alikuwa mtu mashuhuri katika jumba la mfalme; sifa zake zilienea katika majimbo yote naye alipata uwezo zaidi na zaidi. 5Wayahudi waliwaangusha adui zao wote kwa upanga wakiwaua na kuwaangamiza, nao walifanya kile walichotaka kwa wale waliowachukia. 6Katika ngome ya Shushani Wayahudi waliua na kuangamiza wanaume 500. 7Pia waliwaua Parshendatha, Dalfoni, Aspatha, 8Poratha, Adalia, Ardatha,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.