Esta 4:17
Esther 4:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa hiyo Mordekai alikwenda zake na kutekeleza maagizo yote ya Esta.
Esther 4:17 in English
Esther 4:17 · Berean Standard Bible
So Mordecai went and did all that Esther had instructed him.
Context
15Kisha Esta alituma jibu hili kwa Mordekai: 16“Nenda, kusanya pamoja Wayahudi wote walioko Shushani, nanyi mfunge kwa ajili yangu. Msile wala kunywa kwa siku tatu, usiku na mchana. Mimi na wajakazi wangu tutafunga kama mnavyofanya. Baada ya kufanyika hili, nitakwenda kwa mfalme, hata ingawa ni kinyume cha sheria. Ikiwa ni kuangamia na niangamie.” 17Kwa hiyo Mordekai alikwenda zake na kutekeleza maagizo yote ya Esta.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.