Native Bible

Ephesians 5:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kusudi alifanye takatifu, akilitakasa kwa kuliosha kwa maji katika Neno lake,

Ephesians 5:26 in English

Ephesians 5:26 · Berean Standard Bible

to sanctify her, cleansing her by the washing with water through the word,

Context

24Basi, kama vile Kanisa linavyomtii Kristo, vivyo hivyo na wake nao imewapasa kuwatii waume zao kwa kila jambo. 25Ninyi waume, wapendeni wake zenu, kama vile Kristo alivyolipenda Kanisa akajitoa kwa ajili yake 26kusudi alifanye takatifu, akilitakasa kwa kuliosha kwa maji katika Neno lake, 27apate kujiletea Kanisa tukufu lisilo na doa wala kunyanzi au waa lolote, bali takatifu na lisilo na hatia. 28Vivyo hivyo imewapasa waume kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.