Native Bible

Ephesians 5:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Vivyo hivyo imewapasa waume kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe.

Ephesians 5:28 in English

Ephesians 5:28 · Berean Standard Bible

In the same way, husbands ought to love their wives as their own bodies. He who loves his wife loves himself.

Context

26kusudi alifanye takatifu, akilitakasa kwa kuliosha kwa maji katika Neno lake, 27apate kujiletea Kanisa tukufu lisilo na doa wala kunyanzi au waa lolote, bali takatifu na lisilo na hatia. 28Vivyo hivyo imewapasa waume kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe. 29Hakuna mtu anayeuchukia mwili wake mwenyewe, bali huulisha na kuutunza vizuri, kama Kristo anavyolitunza Kanisa lake. 30Sisi tu viungo vya mwili wake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.