Waefeso 3:13
Ephesians 3:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa hiyo, nawaomba msikate tamaa kwa sababu ya mateso yangu kwa ajili yenu, hayo ni utukufu wenu.
Ephesians 3:13 in English
Ephesians 3:13 · Berean Standard Bible
So I ask you not to be discouraged because of my sufferings for you, which are your glory.
Context
11sawasawa na kusudi lake la milele katika Kristo Yesu Bwana wetu. 12Ndani yake na kwa njia ya imani katika yeye twaweza kumkaribia Mungu kwa uhuru na kwa ujasiri. 13Kwa hiyo, nawaomba msikate tamaa kwa sababu ya mateso yangu kwa ajili yenu, hayo ni utukufu wenu. 14Kwa sababu hii nampigia Baba magoti, 15ambaye ubaba wote wa kila jamaa za mbinguni na za duniani unatokana naye.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.