Native Bible

Ephesians 3:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndani yake na kwa njia ya imani katika yeye twaweza kumkaribia Mungu kwa uhuru na kwa ujasiri.

Ephesians 3:12 in English

Ephesians 3:12 · Berean Standard Bible

In Him and through faith in Him * we may enter God’s presence with boldness and confidence.

Context

10Ili sasa kwa njia ya Kanisa, hekima yote ya Mungu ipate kujulikana kwa watawala na wenye mamlaka katika ulimwengu wa roho, 11sawasawa na kusudi lake la milele katika Kristo Yesu Bwana wetu. 12Ndani yake na kwa njia ya imani katika yeye twaweza kumkaribia Mungu kwa uhuru na kwa ujasiri. 13Kwa hiyo, nawaomba msikate tamaa kwa sababu ya mateso yangu kwa ajili yenu, hayo ni utukufu wenu. 14Kwa sababu hii nampigia Baba magoti,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.