Waefeso 3:11
Ephesians 3:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
sawasawa na kusudi lake la milele katika Kristo Yesu Bwana wetu.
Ephesians 3:11 in English
Ephesians 3:11 · Berean Standard Bible
according to the eternal purpose that He accomplished in Christ Jesus our Lord.
Context
9na kuweka wazi kwa kila mtu siri hii iliyokuwa imefichwa tangu zamani katika Mungu, aliyeumba vitu vyote. 10Ili sasa kwa njia ya Kanisa, hekima yote ya Mungu ipate kujulikana kwa watawala na wenye mamlaka katika ulimwengu wa roho, 11sawasawa na kusudi lake la milele katika Kristo Yesu Bwana wetu. 12Ndani yake na kwa njia ya imani katika yeye twaweza kumkaribia Mungu kwa uhuru na kwa ujasiri. 13Kwa hiyo, nawaomba msikate tamaa kwa sababu ya mateso yangu kwa ajili yenu, hayo ni utukufu wenu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.