Mhubiri 5:11
Ecclesiastes 5:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mali ikiongezeka, ndivyo walaji wanavyoongezeka. Hii nayo inamfaidia nini mwenye mali isipokuwa ni kushibisha macho yake?
Ecclesiastes 5:11 in English
Ecclesiastes 5:11 · Berean Standard Bible
When good things increase, so do those who consume them; what then is the profit to the owner, except to behold them with his eyes?
Context
9Mafanikio ya nchi ni kwa ajili ya wote, hata mfalme mwenyewe hufaidi kutoka mashambani. 10Yeyote apendaye fedha kamwe
hatosheki na fedha;
yeyote apendaye utajiri kamwe
hatosheki na kipato chake.
Hili nalo pia ni ubatili. 11Mali ikiongezeka, ndivyo walaji
wanavyoongezeka.
Hii nayo inamfaidia nini mwenye mali
isipokuwa ni kushibisha macho yake? 12Usingizi wa kibarua ni mtamu,
awe amekula kidogo au kingi,
lakini wingi wa mali
humnyima tajiri usingizi. 13Nimeshaona uovu mzito chini ya jua:
Utajiri uliolimbikizwa kwa kujinyima
na kuleta madhara kwa mwenye mali,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.