Mhubiri 11:1
Ecclesiastes 11:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Tupa mkate wako juu ya maji, kwa maana baada ya siku nyingi utaupata tena.
Ecclesiastes 11:1 in English
Ecclesiastes 11:1 · Berean Standard Bible
Cast your bread upon the waters, for after many days you will find it again.
Context
1Tupa mkate wako juu ya maji,
kwa maana baada ya siku nyingi
utaupata tena. 2Wape sehemu watu saba, naam hata wanane,
kwa maana hujui ni baa gani
litakalokuwa juu ya nchi. 3Kama mawingu yamejaa maji,
hunyesha mvua juu ya nchi.
Kama mti ukianguka kuelekea kusini
au kuelekea kaskazini,
mahali ulipoangukia,
hapo ndipo utakapolala.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.