Native Bible

Deuteronomy 5:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Usimshuhudie jirani yako uongo.

Deuteronomy 5:20 in English

Deuteronomy 5:20 · Berean Standard Bible

You shall not bear false witness against your neighbor.*

Context

18Usizini. 19Usiibe. 20Usimshuhudie jirani yako uongo. 21Usitamani mke wa jirani yako. Usitamani nyumba ya jirani yako au shamba lake, mtumishi wake wa kiume au wa kike, ngʼombe au punda wake, wala kitu chochote cha jirani yako.” 22Hizi ndizo amri alizozitangaza Bwana kwa sauti kubwa kwa kusanyiko lenu lote huko mlimani kutoka kwenye moto, wingu na giza nene, wala hakuongeza chochote zaidi. Kisha akaziandika juu ya vibao viwili vya mawe, naye akanipa mimi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.