Native Bible

Deuteronomy 33:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Alisema: “Bwana alikuja kutoka Mlima Sinai, akachomoza kama jua juu yao kutoka Mlima Seiri, akaangaza kutoka Mlima Parani. Alikuja pamoja na watakatifu makumi elfu kutoka kusini, kutoka materemko ya mlima wake.

Deuteronomy 33:2 in English

Deuteronomy 33:2 · Berean Standard Bible

He said: “The LORD came from Sinai and dawned upon us * from Seir; He shone forth from Mount Paran and came with myriads of holy ones, with flaming fire at His right hand.*

Context

1Hii ndiyo baraka Mose mtu wa Mungu aliyotamka kwa Waisraeli kabla ya kifo chake. 2Alisema: “Bwana alikuja kutoka Mlima Sinai, akachomoza kama jua juu yao kutoka Mlima Seiri, akaangaza kutoka Mlima Parani. Alikuja pamoja na watakatifu makumi elfu kutoka kusini, kutoka materemko ya mlima wake. 3Hakika ni wewe ambaye huwapenda watu, watakatifu wako wote wamo mkononi mwako. Miguuni pako wote wanasujudu na kutoka kwako wanapokea mafundisho, 4sheria ile Mose aliyotupa sisi, tulio milki ya kusanyiko la Yakobo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.