Native Bible

Deuteronomy 28:46 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Zitakuwa ishara na ajabu kwako na kwa wazao wako milele.

Deuteronomy 28:46 in English

Deuteronomy 28:46 · Berean Standard Bible

These curses will be a sign and a wonder upon you and your descendants forever.

Context

44Yeye atakukopesha, lakini wewe hutamkopesha. Yeye atakuwa kichwa, lakini wewe utakuwa mkia. 45Laana hizi zote zitakuja juu yako. Zitakufuatia na kukupata mpaka uangamizwe, kwa sababu hukumtii Bwana Mungu wako, na kuzishika amri zake na maagizo yake aliyokupa. 46Zitakuwa ishara na ajabu kwako na kwa wazao wako milele. 47Kwa sababu hukumtumikia Bwana Mungu wako kwa furaha na kwa moyo wakati wa kufanikiwa kwako, 48kwa hiyo katika njaa na kiu, katika uchi na umaskini wa kutisha, utawatumikia adui ambao Bwana atawatuma dhidi yako. Yeye ataweka nira ya chuma shingoni mwako hadi amekwisha kukuangamiza.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.