Native Bible

Deuteronomy 25:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

huyo mwanamke utamkata mkono wake. Usimhurumie.

Deuteronomy 25:12 in English

Deuteronomy 25:12 · Berean Standard Bible

you are to cut off her hand. You must show her no pity.

Context

10Jamaa ya mtu huyo itafahamika katika Israeli kama Jamaa ya Aliyevuliwa Kiatu. 11Ikiwa watu wawili wanapigana na mke wa mmoja wao akaja kumwokoa mumewe na yule anayemshambulia, naye mke huyo akifika na kumkamata sehemu za siri, 12huyo mwanamke utamkata mkono wake. Usimhurumie. 13Usiwe na mawe ya kupimia ya aina mbili katika mkoba wako, moja zito na jingine jepesi. 14Usiwe na vipimo viwili tofauti katika nyumba yako, kimoja kikubwa, kingine kidogo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.