Native Bible

Deuteronomy 22:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

mwanaume atamlipa baba wa msichana shekeli hamsini* za fedha. Ni lazima amwoe huyo msichana, kwa maana amemfanyia jeuri. Kamwe hawezi kumpa talaka siku zote za maisha yake.

Deuteronomy 22:29 in English

Deuteronomy 22:29 · Berean Standard Bible

then the man who lay with her must pay the young woman’s father fifty shekels of silver,* and she must become his wife because he has violated her. He must not divorce her as long as he lives.

Context

27kwa maana mwanaume huyo alimkuta msichana huko mashambani, na ingawa msichana aliyeposwa alipiga kelele, hapakuwa na mtu wa kumwokoa. 28Ikiwa itatokea mwanaume akutane na bikira ambaye hajaposwa na kumbaka nao wakakutwa, 29mwanaume atamlipa baba wa msichana shekeli hamsini* za fedha. Ni lazima amwoe huyo msichana, kwa maana amemfanyia jeuri. Kamwe hawezi kumpa talaka siku zote za maisha yake. 30Mwanaume asimwoe mke wa baba yake; kamwe asidhalilishe kitanda cha baba yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.