Kumbukumbu 22:28
Deuteronomy 22:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ikiwa itatokea mwanaume akutane na bikira ambaye hajaposwa na kumbaka nao wakakutwa,
Deuteronomy 22:28 in English
Deuteronomy 22:28 · Berean Standard Bible
If a man encounters a virgin who is not pledged in marriage, and he seizes her and lies with her, and they are discovered,
Context
26Usimtendee msichana yule jambo lolote; hajafanya dhambi inayostahili kifo. Shauri hili ni kama lile la yeyote ambaye anamshambulia na kumuua kwa makusudi jirani yake, 27kwa maana mwanaume huyo alimkuta msichana huko mashambani, na ingawa msichana aliyeposwa alipiga kelele, hapakuwa na mtu wa kumwokoa. 28Ikiwa itatokea mwanaume akutane na bikira ambaye hajaposwa na kumbaka nao wakakutwa, 29mwanaume atamlipa baba wa msichana shekeli hamsini* za fedha. Ni lazima amwoe huyo msichana, kwa maana amemfanyia jeuri. Kamwe hawezi kumpa talaka siku zote za maisha yake. 30Mwanaume asimwoe mke wa baba yake; kamwe asidhalilishe kitanda cha baba yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.