Native Bible

Deuteronomy 2:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha tukageuka nyuma na kusafiri kuelekea jangwani kwa njia inayoelekea Bahari ya Shamu, kama Bwana alivyonielekeza. Kwa muda mrefu tulitembea kuzunguka vilima katika nchi ya Seiri.

Deuteronomy 2:1 in English

Deuteronomy 2:1 · Berean Standard Bible

Then we turned back and headed for the wilderness by way of the Red Sea,* as the LORD had instructed me, and for many days we wandered around Mount Seir.

Context

1Kisha tukageuka nyuma na kusafiri kuelekea jangwani kwa njia inayoelekea Bahari ya Shamu, kama Bwana alivyonielekeza. Kwa muda mrefu tulitembea kuzunguka vilima katika nchi ya Seiri. 2Kisha Bwana akaniambia, 3“Umetembea kuzunguka hii nchi ya vilima kwa muda wa kutosha; sasa geukia kaskazini.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.