Kumbukumbu 15:22
Deuteronomy 15:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Itawapasa kumla ninyi wenyewe katika miji yenu. Wote wasio safi na walio safi kwa desturi za kiibada mwaweza kula kama vile mnavyokula paa au kulungu.
Deuteronomy 15:22 in English
Deuteronomy 15:22 · Berean Standard Bible
Eat it within your gates; both the ceremonially unclean and clean may eat it as they would a gazelle or a deer.
Context
20Kila mwaka ninyi na jamaa zenu mtapaswa kuwala mbele za Bwana Mungu wenu pale mahali atakapopachagua. 21Kama mnyama ana dosari, akiwa ni kilema au kipofu au kama ana kilema kibaya, kamwe usimtoe dhabihu kwa Bwana Mungu wenu. 22Itawapasa kumla ninyi wenyewe katika miji yenu. Wote wasio safi na walio safi kwa desturi za kiibada mwaweza kula kama vile mnavyokula paa au kulungu. 23Lakini kamwe msinywe damu; imwageni ardhini kama maji.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.