Kumbukumbu 15:23
Deuteronomy 15:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini kamwe msinywe damu; imwageni ardhini kama maji.
Deuteronomy 15:23 in English
Deuteronomy 15:23 · Berean Standard Bible
But you must not eat the blood; pour it on the ground like water.
Context
21Kama mnyama ana dosari, akiwa ni kilema au kipofu au kama ana kilema kibaya, kamwe usimtoe dhabihu kwa Bwana Mungu wenu. 22Itawapasa kumla ninyi wenyewe katika miji yenu. Wote wasio safi na walio safi kwa desturi za kiibada mwaweza kula kama vile mnavyokula paa au kulungu. 23Lakini kamwe msinywe damu; imwageni ardhini kama maji.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.