Kumbukumbu 14:5
Deuteronomy 14:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kulungu, paa, kongoni, paa mweupe, mbuzi-mwitu, pofu na kondoo wa mlimani.
Deuteronomy 14:5 in English
Deuteronomy 14:5 · Berean Standard Bible
the deer, the gazelle, the roe deer, the wild goat, the ibex, the antelope, and the mountain sheep.
Context
3Msile kitu chochote ambacho ni machukizo. 4Hawa ndio wanyama mtakaokula: ngʼombe, kondoo, mbuzi, 5kulungu, paa, kongoni, paa mweupe, mbuzi-mwitu, pofu na kondoo wa mlimani. 6Mnaweza kumla mnyama yeyote mwenye kwato zilizogawanyika mara mbili, pia yule anayecheua. 7Hata hivyo, miongoni mwa wale wanaocheua au wale walio na kwato zilizogawanyika kamwe msile ngamia, sungura na pelele. Iwapo wanacheua, lakini hawana kwato zilizogawanyika; ni najisi kwenu kwa taratibu za kiibada.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.