Kumbukumbu 14:4
Deuteronomy 14:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hawa ndio wanyama mtakaokula: ngʼombe, kondoo, mbuzi,
Deuteronomy 14:4 in English
Deuteronomy 14:4 · Berean Standard Bible
These are the animals that you may eat:* The ox, the sheep, the goat,
Context
2kwa maana ninyi ni taifa takatifu kwa Bwana Mungu wenu. Bwana amewachagua ninyi kuwa taifa la kipekee kutoka mataifa yote juu ya uso wa dunia, mwe tunu yake. 3Msile kitu chochote ambacho ni machukizo. 4Hawa ndio wanyama mtakaokula: ngʼombe, kondoo, mbuzi, 5kulungu, paa, kongoni, paa mweupe, mbuzi-mwitu, pofu na kondoo wa mlimani. 6Mnaweza kumla mnyama yeyote mwenye kwato zilizogawanyika mara mbili, pia yule anayecheua.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.