Native Bible

Deuteronomy 12:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hamruhusiwi kamwe kunywa damu; imwageni juu ya ardhi kama maji.

Deuteronomy 12:24 in English

Deuteronomy 12:24 · Berean Standard Bible

You must not eat the blood; pour it on the ground like water.

Context

22Mle kama vile mngekula paa na kulungu. Wote walio najisi kiibada na walio safi mwaweza kula. 23Lakini hakikisheni kwamba hamkunywa damu, kwa sababu damu ni uhai, kamwe msile uhai pamoja na nyama. 24Hamruhusiwi kamwe kunywa damu; imwageni juu ya ardhi kama maji. 25Msinywe damu, ili mweze kufanikiwa ninyi pamoja na watoto wenu baada yenu, kwa sababu mtakuwa mkifanya lililo haki machoni pa Bwana. 26Lakini vichukueni vitu vyenu vilivyowekwa wakfu pamoja na vile mlivyoweka nadhiri, mwende mahali pale Bwana atakapopachagua.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.