Kumbukumbu 11:20
Deuteronomy 11:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yaandikeni juu ya miimo ya nyumba zenu na juu ya malango yenu,
Deuteronomy 11:20 in English
Deuteronomy 11:20 · Berean Standard Bible
Write them on the doorposts of your houses and on your gates,
Context
18Yawekeni haya maneno yangu katika mioyo yenu na akili zenu, yafungeni kama alama juu ya mikono yenu na kwenye paji za nyuso zenu. 19Wafundisheni watoto wenu, yazungumzeni wakati mketipo nyumbani na wakati mtembeapo njiani, wakati mlalapo na wakati mwamkapo. 20Yaandikeni juu ya miimo ya nyumba zenu na juu ya malango yenu, 21ili kwamba siku zenu na siku za watoto wenu zipate kuwa nyingi katika nchi ile Bwana aliyoapa kuwapa baba zenu, kama zilivyo nyingi siku za mbingu juu ya nchi. 22Kama mkishika kwa makini maagizo haya yote ninayowapa kuyafuata, ya kumpenda Bwana Mungu wenu, kuenenda katika njia zake zote na kushikamana naye kwa uthabiti,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.