Kumbukumbu 10:19
Deuteronomy 10:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nanyi wapendeni wageni, kwa kuwa ninyi wenyewe mlikuwa wageni huko Misri.
Deuteronomy 10:19 in English
Deuteronomy 10:19 · Berean Standard Bible
So you also must love the foreigner, since you yourselves were foreigners in the land of Egypt.
Context
17Kwa kuwa Bwana Mungu wenu ni Mungu wa miungu na Bwana wa mabwana, Mungu mkuu, mwenye uweza na wa kutisha, ambaye hana upendeleo na hapokei rushwa. 18Huwapigania yatima na wajane, humpenda mgeni, akimpa chakula na mavazi. 19Nanyi wapendeni wageni, kwa kuwa ninyi wenyewe mlikuwa wageni huko Misri. 20Mche Bwana Mungu wako na umtumikie yeye. Shikamana naye kwa uthabiti na kuapa kwa jina lake. 21Yeye ni sifa yako; yeye ni Mungu wako, ambaye alikutendea yale maajabu makubwa na ya kutisha uliyoyaona kwa macho yako mwenyewe.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.