Danieli 2:20
Daniel 2:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
na akasema: “Lihimidiwe jina la Mungu milele na milele; hekima na uweza ni vyake.
Daniel 2:20 in English
Daniel 2:20 · Berean Standard Bible
and declared: “Blessed be the name of God forever and ever, for wisdom and power belong to Him.
Context
18Aliwasihi waombe rehema kutoka kwa Mungu wa mbinguni kuhusu siri hii, ili yeye na rafiki zake wasije wakauawa pamoja na wenye hekima wengine wa Babeli. 19Wakati wa usiku lile fumbo lilifunuliwa kwa Danieli katika maono. Ndipo Danieli akamhimidi Mungu wa mbinguni, 20na akasema:
“Lihimidiwe jina la Mungu milele na milele;
hekima na uweza ni vyake. 21Yeye hubadili nyakati na majira;
huwaweka wafalme na kuwaondoa.
Huwapa hekima wenye hekima,
na maarifa wenye ufahamu. 22Hufunua siri na mambo yaliyofichika;
anajua yale yaliyo gizani,
nayo nuru hukaa kwake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.